Languages

  

The department is headed by Mr Pius Namiti Wenyaa. It consists of  four other members: Mr Daoudi Walusuna, Mr David Musomba, Mrs Irine Mkaisi and Mr Joseph Ombele.
 
Idara Ya Kiswahili
 

LUGHA : IDARA YA KISWAHILI

Kiswahili ni somo la lazima katika shule za upili nchini Kenya.

Hii ni kutokana na dhima na umuhimu wake. Hii dio lugha ya taifa letu. Kiswahili kimetambulika kuwa na uwezo wa kuleta umoja wa kitaifa. Kiswahili pia si lugha ya tabaka moja. Ni lugha ya wakenya wote bila kujali tabaka, kabila au umri.

Kutokana na umuhimu huu ndipo idara ya lugha (Kiswahili) inatoa mafunzo kabambe yanayomwezesha mwanafunzi kuwa na utumizi wa lugha hii katika shughuli za kila siku.

Idara ya Lugha (Kiswahili) katika Shule Ya Mtakatifi Theresa inakabiliwa na maingiliano ya lugha na vilugha vingine katika Kiswahili.

Idara pia inashughulikia mafunzo katika somo la Kiswahili yanayofanikisha malengo ya madhumni ya elimu katika shule ya sekondari.

Idara ya Lugha (Kiswahili) inashughulikia stadi mbalimbali za lugha ya Kiswahili kama vile kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi  ya lugha, kusoma, sarufi na matumizi ya lugha, kusoma, matumizi ya maktaba na kamusi na pia Historia ya Kiswahili.

Tabaruku zangu ni kwa:

1.         Bwana Justus C. Wafula – Mkuu Wa Shule

2.         Bwana Emmanuel Kirwa Too

3.         Bwana Charle Ndereva

 

Downloads

This is our download center for fees structures, news letters, forms and memos.

 

read more

2018 KCSE Report

ST. THERESA’S SECONDARY SCHOOL – SIKHENDU

2018 K.C.S.E. RESULTS ANALYSIS

CANDIDATES ORDER OF MERIT N0.

read more